| Abraham Abby NM aka The Blogger |
| Mbeya hapa Walter Chilambo mshindi wa EBSS 2012/13 akilonga na washiriki pande zile |
| Nilikomaa kwa msururu kama unavyoona |
| Siku ya kwanzaSalamana Master J hawakuwepo, alikaa Stans Lambat na Freyz Mabula wa Mbeya FM |
| Nikiongea nao kabla sijaingia.. |
| Niliongea pia baada ya kupita Round ya kwanza na kesho yake kukutana na Salama, Master na Madam |
| Hapa nipo na Amina Chibaba ambaye alishiriki na mwaka jana na aliingia hadi 30 flani.. |
No comments:
Post a Comment