HARAKATI, KAMUAA STARTING LIKE THIS.. In Dar kwa ajili ya EBSS 2013Abraham Abby NM TheBlogger 10-11/06/2013

Abraham Abby NM aka The Blogger
Mbeya hapa Walter Chilambo mshindi wa EBSS 2012/13
akilonga na washiriki pande zile
Nilikomaa kwa msururu kama unavyoona
Siku ya kwanzaSalamana Master J hawakuwepo, alikaa
Stans Lambat na Freyz Mabula wa Mbeya FM
Nikiongea nao kabla sijaingia..
Niliongea pia baada ya kupita Round ya kwanza na kesho yake
kukutana na Salama, Master na Madam
Hapa nipo na Amina Chibaba ambaye alishiriki na mwaka jana
na aliingia hadi 30 flani..

My Song: Inaitwa "NDOA" Enjoyyyyy

MOJA KATI YA NGOMA ZANGU NILIZOFANYA
KIGHETO GHETO, Inaitwa NDOA...
Download na kuskiliza hapa..